Tuesday, December 29, 2009

NO ONE IN GOT SWAGGA LIKE US......

Furahia kwa kuangalia movie, hizi ndo swagga za kitaa full kuji intertain. .....Just remember this...NO ONE IN GOT SWAGGA LIKE US...

(1986) Platoon

(1986) Platoon

JAMES MWAMONGI, Provides u wid d best of intertainments ever, stay in touch wid him hapahapa kwa swagga za kitaa

Monday, December 28, 2009

******* FRINDS CORNER'S OVER VIEW******





















HILI ndo ting'a la kijanja, ni mwendo wa kimilionea, kisuper star.... na kila kinga, yani huuzi hujaingia, follow swagga na zama kwenye ting'a kama kweli we mjanja

DEMU WA KIBONGO

...demu wa kibongo muulize kama ana boy atajibu sina n'liekuwa nae hayupo kaenda mtoni,hii tuiite fashion?,au mchanga machoni?,au professional fix a.k.a boshen??hahahahaha,Ambwene bana...huwa unapata wapi akili zote hizo???

Watch James Cameron's Avatar. The desperate fight for survival between humans and aliens begins on December 18, 2009.Watch the trailer

I WAS BORN ON THE MOUNTAINS SIDE

SIKATAI; Dem wangu wamenipigia,
Thanx machungu wameniongezea,
Pesa ziliwadanganya,
nimeziba walipo ingilia,
Nangoja nione watapo tokea,
Sitishi, wanatishika
M d luckiest man alive,
Nimewasoma nishawajua,
Uzaif wao nishaujua,
Balloon lao nishatoboa,
Wameangukia tope wameloa,
NI ZAMU YANGU, kuwatindua,
wamepiga mbizi kwa lami,
na mi na breeze ka niko MIAMI,
Wife bado yu wangu,
Simuachi ni mzigo wangu, harudiii, anasema ye ni wangu...

Fuck u my wife umemegwa kisela,
Mpuuzi we pesa, umekuja late kwa msela,
I hate you what they call you love umeniangusha msela....

Thursday, December 24, 2009

realise me better


mi ni namba wima, washakili mi ni mkuki wenye sumu unaong'ara
kwa kifupi niite kafiri asiye na mtumwa
Tafsiri yangu ya maisha ni sawa na mzazi asiye lisha,
yan full kutatanisha
Na explode zaidi ya volcano ni pure cna impurities kama kijani na njano,
Busara na upendo ndo ngao yangu ya mapambano,
Nnapo kua kwenye game natisha zaidi ya mvua za elninho,
nang'ara zaid ya color ya albino.
Cna kipimohata wahenga walishakili kua ntashika no 2 kama isipo kuwepo moja,
huwezi bac ngoja, ucje ukaharibu kati kumi ukapata moja;
ucbonyeze ucjaribu ucje zuavioja......

SIKIA WANGU MY DEAR!

Dar-es-laam kuna warembo kibaooo,
Nimezungukanisha kutananaoooo,
Wenye uzurikila sifa tena na pesazaoooo,
Na sina mpangonao.....sina...sina, mpangonaoooo

Nishasika stori kuhusu wangu my dearnikaumiaaaa,
Asha skiastori kuhusu mimi pia,akavumiliaaaaaaaaaaaaaaaaa

NEW!!! ndo hii wachifizi







jimmynest trading company is here to keep u modernised , mzigo mpya umeingia, ni wakijanja zaidi,uckubali upitwe kwani we ndo mjafanga na we ndo mlengwa, wasiliana na production manager, jimmynest trading company- 0712 -256590


















au jimmynest.mwamongi18@gmail.com for more info, this is now hot, dont miss it no one in got swagga like us!














tobaaaa!

Jamaa mmoja alikua mgonjwa mahututi, daktari akachukua vipimo kisha akarjea na mazungumzo yakawa hivi;
daktari;nina habari 2, mbaya na mbaya zaidi, cjuo nianze na ipi?
jamaa;Duh! mbona unanitisha, anza na mbaya,
daktari;una saa 24 tu za kuishi.
jamaa;tobaa!sa hiyo mbaya zaid ya hii itaka ipi?
Daktari;Mbaya zaidi ni kwamba nilisahau kukwambia toka jana..

vina mwanzo kati na mwisho


ndo kihivi wakubwa tunasongesha, ni fareed na mwanangu mongi in d block.

kisura na utalii wa ndani


Binti indispensable bibie GENA, kisura anaejisoma akiendeleza utalii wa ndani, hapo akiongoza some friends ni katika moja ya vijiji around Ruaha national park, Iringa- Tanzania

we suppose to marry....

C i used to lie to myself
dat i'll always b ya player....
Not since i set my eyes on u.......
OH MA! since then i don fall in love

Bora kuwepo..

tunapenda wanawake wazuri
Cio wa CM na GARI
halaf ndo kama hakuna anae wajua vizuri....
waliopo ndo vile....
Wanatoroka na wazungu,
Wanamegwa na vibabu,
uso mkavu hawana aibu...
fuc bitches wa hivi

Tuesday, December 22, 2009

pasua


hii ndo city centre, ni kunata na swagga tu.. SIO LAZIMA USEME, MWENYEWE NAJUA, kama kawa kama dawa

got me ryt

fuc u my wyf umemegwa kisela
mpuuzi we PESA umekuja late kwa msela
I hate u what dey call u LOVE umeniangusha msela

Fuc u bitches,
u r easily fucked 4 a RIDE, easily cheated 4 pesa na GARI! No ju cant b be my bride..... come on
mi ndo msela mi ndo husttler
na haso til d day m goin ahela
nishausoma mchezo n dat was a trelor,
we mWELCOME to a supertela where make a movie n i m a seller...

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too