Friday, March 30, 2012

WEUSI ALBUM LAUNCH,

ZINDUA PAMOJA NAO...

IRINGA tar 31 mwezi wa 3 ndani ya
HIGHLAND HALL kiingilio Tsh. 10,000
MOROGORO tar 1 mwezi wa 4 ndani ya  
4stars CLUB kiingilio Tsh.7000

Tuesday, March 13, 2012

DUKA MAARUFU LA VIPODOZI LAFUNGWA

NI HAJI MAPOWDER, MJINI DODOMA

Duka maarufu la vipodozi mjini Dodoma al-maarufu kwa "Haji mapoda" limefungiwa leseni yake leo mchana baada ya kuthibitika kuuza (mikorogo)/ bidhaa za vipodozi zisizo na baraka ya mamlaka ya viwango nchini.

mamlaka wakati wa zoezi hilo
Ni kwa muda sasa maduka ya vipodozi yamekua yakifanya biashara ya bidhaa kama hizo na hivyo kuhatarisha afya za watumiaji na kuikosesha serikali mapato kwani bidhaa hizo huletwa nchini kwa magendo. Baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo wameipongeza mamlaka huku wengine wakidhihaki kua ni rushwa inatafutwa. OTC inaiomba mamlaka kutenda haki ili kulinda afya na pato la taifa.

Sunday, March 4, 2012

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too