Vodacom miss chang'ombe 2011 yatimia, shindano hilo lililofanyika katika ukumbi wa TCC Chang'ombe lilimalizika kwa kumuacha Cynthia Kimasha
katikati pichani mhindi wa kwanza hivyo kumrith Genevieve emmanuel Mpangala aliye kuwa akishikiria taji hilo, Cynthia alifuatiwa na mshindi wa pili Husna Twalbu kushoto pichani na watatu Joyce Maweda. soma zaidi...
No comments:
Post a Comment