![]() |
DIAMOND; "Hii ni nafasi yako pekee kushiriki katika Music Video yangu ya kimataifa itakayofanyika nchini na nje ya bara la afrika, kushiriki fika Nyumbani Lounge 22 Sept 2o12 saa tano asubuhi. Wavulana kwa Wasichana watanashati; kufanikisha njooni na nguo zenu kali. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi +255753231113, Email: diamond@i-view-studios.com" |
No comments:
Post a Comment