Karibu ON THE COOLS.... we present to you updates on entertainment, eastAfrican expanding out, what we call cool is always is, stay updated with us. advertise with us; 0758100222, jimmynest.mwamongi18@gmail.com
Saturday, September 29, 2012
(VIDEO): NICKI MINAJ AKIMKABIDHI WEEZY ZAWADI!
Labels:
birthday present,
Lil Wayne,
nicki,
nicki minaj,
t rex,
Tunechi,
wayne,
weezy,
YMCMB,
young money
FRANCIS CHEKA KUVAANA NA NYILAWILA LEO, ATALINDA RECORD YAKE????
Francis cheka akipima uzito, Tayari kwa pambano lake badae. |
Kalama Nyilawila akipima uzito, Tayari kwa pambano lake badae. |
Manguli wa masumbwi nchini, bingwa wa Mabara Francis Cheka [SMG] na aliyekuwa bingwa wa Dunia Karama Nyilawila [Kapten] wanatarajia kupanda ulingoni leo Jumamosi kuonyeshana ubabe.
Cheka na Nyilawila wameshapigana mara tatu na katika mapambano yote Cheka aliibuka mshindi. Pambano la mwisho kwa manguli hao lilifanyika morogoro ata hivyo lilizua utata baada ya mpambano wao kugubikwa na alama za mshangao ambapo cheka aliibuka na ushindi wa point.
Pambano la leo litafanyika katika ukumbi wa PTO uliopo viwanja vya sabasaba jijini Dar es laam.
Mpaka sasa record ya cheka ni kwamba amepigana mechi 40, na kati ya hizo kashinda 32, droo 2 na kupigwa mapambano 6, wakati mpinzani wake amepigana mechi 26, kapigwa 4 na droo 2.
Kaa nasi kwa matokeo ya mechi hiyo hapo baadae....
Friday, September 28, 2012
JAY-Z AZUNGUMZIA UVUMI UNAOENDELEA KUHUSU BEYONCE KUA NA MIMBA!
Kumekua na uvumi unaoendelea mitandaoni kua Beyoncé anaweza kua na mimba ya mtoto wa pili, hii inatokana na watu wengi kutafsiri picha hapo juu, mwishoni wiki iliyopita! Hatimae “E! News” (ya mbele ofcourse) imejitkeza wakati wa NBA 2K13 launch event, na kumhoji muhusika mkuu yani mme wa B- Jay-Z, nae akafunguka:
Alipoulizwa kama Blue Ivy anatarajia kua na mdogo wake hivi karibuni alijibu, “No, not in nine months. Absolutely not.”
And there you have it, folks. kwa hiyo mpango ndo huo, yaliyomo hayamo.....
Thursday, September 27, 2012
KUTOKA MAGAZETINI LEO; CHAZ BABA ATANGAZA KUMUOA LULU, YANGA KULA DOZI NENE NA HABARINYINGINE KEM KEM>> CHEKI NAZO HAPA!
FWATA LINK HAPO CHINI KUONA MAGAZETI ZAIDI>>>
(NEW MUSIC)IZZO BIZNESS KUTANGAZA VIDEO YAKE MPYA KESH, 27th sep.
Akithibitisha taarifa hizo kwa fans wake, haya no maneno yake kwenye ukurasa wake wa facebook;
kesho video yangu inatambulishwa rasmi ktk tv zote na blogs zote ni video bora ya hip hop niamini mimi.!!
Like · · Share · 21 minutes ago via BlackBerry ·
We can't wait, yani Tunaingoja kwa ham zote... usikose, itakupo humu pia!
Wednesday, September 26, 2012
Trey Songz atoa shavu kwa Obama, Ampigia Kampeni jijini Virginia
Kwa maneno yake amekua akisema-----
“I feel it is my duty to encourage and educate my fan base, especially here at home, about the importance of their vote,” said Trey. “The Gotta Vote Concert is about us coming together, making our voices heard, and giving our President another four years.”
Cheki video hapochini kuona trey akifanya yake.........
Tuesday, September 25, 2012
GARI LA WIZ KHALIFA LAPATA AJARI, NI WAKATI ANAFANYA SHOOTING.
Ndinga kali ya Wiz Khalifa - blue 1969 Chevy Chevelle lili haribika vibaya katika mchezo wa hit-and-run wakati akifanya shooting wiki iliyopita ...
Ndinga kabla ya ajali |
mtandao wa TMZ ndo ulioibua sakata hilo.... bonyeza link chini kuona picha ya gari hilo baada ya ajali.
Chris Brown Gets A Warning After Failed Drug Test
Chris Brown hit a road block in his probation Monday (September 24), thanks to recently surfaced evidence of a failed drug test, but a judge decided to give him a break.
According to TMZ, Brown tested positive for marijuana back in June when he was fulfilling his court-ordered community service in Virginia as part of the sentence he received in June 2009 after pleading guilty to one count of felony assault on then-girlfriend Rihanna. Judge Patricia Schnegg said she never ordered Brown to undergo mandatory drug testing as part of his probation, so she ruled that she would not revoke his probation and let him off with a stern warning.
Judge Schnegg also ordered the case be relocated to California, where Brown lives, and that he must meet with his probation officer within 72 hours to sort out a discrepancy in community-service hours.
Brown received countless messages of support from his dedicated fans via Twitter, and for added good measure, his ex Rihanna tweeted her support of him going into the court hearing.
"Praying for you baby, my best wishes are with you today! Remember that whatever God does in our lives, it is WELL DONE!!! #1Love." Rihanna later tweeted directly at Brown, which he then re-tweeted and responded with his own thanks for her support.
"I'm praying for you and wishing u the best today!" Rihanna wrote to Brown.
"Thank u so much," he wrote back.
STORY CREDIT: Kara Warner (@karawarner)
MATUKIO YA PICHA, KIKAO CHA KAMATI KUU, DODOMA LEO!
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini kuendesha
kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM,
Wilson Mukama. (Picha na Bashir Nkoromo)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. (Picha na Bashir Nkoromo)

Katika Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisoma utangulizi, mwanzoni wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiwaslimia wajumbe wa Kamati Kuu, Mjumbe wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba, Mjumbe wa NEC Oganaizeshenu, Asha Abdallah Juma na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, (Zanzibar Vuai Ali Vuai) kabla ya kuanza kukao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. (Picha na Bashir Nkoromo)
Wajumbe wa Kamati Kuu, Maua Daftari na Simba wakijadili jambo taratibu, kabla ya Kikao cha kamati hiyo kuanza leo mjini Dodoma. (Picha na Bashir Nkoromo).
Baadhi ya viongozi wa CCM wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi kwa awamu nyingine katika uchaguzi mkuu wa CCM utakaofanyika Novemba mwaka huu, wakiwa nje ya ukumbi wakati kikao cha Kamati Kuu kikiendelea mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Azim Premji, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa, Hypolitus-Rukwa, Wajumbe wa NEC Asha Baraka na Hkadija Kopa (Picha na Bashir Nkoromo).
STORY CREDITS: TZ ONE

Subscribe to:
Posts (Atom)
Infolinks In Text Ads
Popular Posts
-
Back in November, Nicki Minaj announced that her sophomore album, Pink Friday: Roman Reloaded, would debut February 14, giving fans a li...
-
Master J's daughter's showed up on the set and decided to audition for their dad. This is how it went down!
-
As expected , Beyonce 's fourth solo studio album, "4," bounds in at No. 1 on the Billboard 200 albums chart, selling 310,0...