Showing posts with label EVENTS. Show all posts
Showing posts with label EVENTS. Show all posts

Thursday, November 8, 2012

New Music: Future f/ Ciara – ‘Turn On the Lights (Remix)’

Future and Ciara

Lil Wayne and Lloyd have already recorded their own versions, and now Ciara jumps on the official remix to Future’s hit single “Turn On the Lights.” “If you wanna win my heart, don’t be in it for the fame,” sings CiCi to her prospective lover on the Mike WiLL Made It production.

On November 27, Future will release Pluto 3D, a repackaging of his debut featuring three new songs and two remixes including “Neva End (Remix)” with Kelly Rowland.

 

Wednesday, October 3, 2012

NEW MUSIC

(KUTOKA MAGAZETINI LEO- 03 Oct, Wed:) CHEKI HABARI ZILIZOJAZA MAGAZETI HAPA>>>>





KAMA ULIPIHANA NA SHIT YA PeenLawyer KWA CYRILL FB, NI HII HAPA:

Kama cyrill ndie aliyependekeza neno BHaaasss la fiesta,BASI K****a yake..na akae akijua mambo BHAAADO sana!!na hizi si taarabu zenye vijembe,kama vivyo vya ooh sijui BHasssi,haya ni maisha na uwazi,tena haswa kwa ma rapper eti BHAas?cyrill jiulize ni wakongwe wangapi walishauka kama ww na ubishoo wakujidai na hao watoto wa dawasco(wafu),, kumbuka kulikuwa na wakongwe waliokuwa wakijishau kama ww na kujipendekeza kwa hao jamaaa na mwisho wa siku wanakutumia kama kondom,kujikinga na mmagonjwa kama gono na wakimaliza watakumwaga kama MB DOG,MR nice,maize B,ray c nk,na utabaki na gono lako koz we ni condom tu!tena K**a la mama yako kila nikiskia ilo neno mtaani,unaona furahi kubang kwenye impire ya kibepali,mwanao atakuja kukudai kwa usenge unaomuwekea kwenye history ya muziki!uwazi mixtape ndio iko mtaani na inamajibu yako!Go n get it

KAMA MDAU WA SANAA BONGO USISAHAU KUACHA MAONI YAKO HAPO CHINI TAFADHALI

Thursday, September 27, 2012

(NEW MUSIC)IZZO BIZNESS KUTANGAZA VIDEO YAKE MPYA KESH, 27th sep.





Akithibitisha taarifa hizo kwa fans wake, haya no maneno yake kwenye ukurasa wake wa facebook;
kesho video yangu inatambulishwa rasmi ktk tv zote na blogs zote ni video bora ya hip hop niamini mimi.!!
Like · · · 21 minutes ago via BlackBerry · 
 
We can't wait, yani Tunaingoja kwa ham zote... usikose, itakupo humu pia!

Tuesday, July 24, 2012

SHEREHE ZA UZINDUZI WA MASHINDANO YA ULIBWENDE DUNIA ZAFANYIKA LEO!

Miss World 2012 imeanza kwa tamasha rasmi na sherehe ya ajabu, iliofanyika katika uwanja wa Dongsheng huko Ordos China.

 Wiki iliyopita washiriki wote wamekuwa na maandalizi mazito ya kijijenga . Wagombea wamekuwa busy na rehearsals, FITTINGS Costume, urembo wa nywele na majaribio ya kufanya make-up wiki iliyopita. Asubuhi ya leo ilikuwa ni ya mwisho kwa njia ya maandalizi.

 Tanzania imewakilishwa na Lisa Peter JENSEN. Lisa kakulia Musoma- Bunda na angependa kuwa designer. Hobbie zake ni pamoja na kusoma, kuogelea na kusafiri. Yeye anapenda jadi na muziki, na anajiita mtu mnyenyekevu ambaye anapenda kuwasaidia watu, akiyathibitisha hayo kwa motto aloenda nao 
      "Do good and good will be done to you too."
Lisa Peter JENSEN
Wote tunasubiri kwa hamu fainali za mashindano hayo na OTC hatutochoka kukujuza. Goodluck to Lisa na Mungu aibariki Tanzania. Endelea chini kwa kubonyeza link upate picha za matukio ya sherehe hiyo ya ufunguzi...


Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too