Jamaa mmoja alikua mgonjwa mahututi, daktari akachukua vipimo kisha akarjea na mazungumzo yakawa hivi;
daktari;nina habari 2, mbaya na mbaya zaidi, cjuo nianze na ipi?
jamaa;Duh! mbona unanitisha, anza na mbaya,
daktari;una saa 24 tu za kuishi.
jamaa;tobaa!sa hiyo mbaya zaid ya hii itaka ipi?
Daktari;Mbaya zaidi ni kwamba nilisahau kukwambia toka jana..
Karibu ON THE COOLS.... we present to you updates on entertainment, eastAfrican expanding out, what we call cool is always is, stay updated with us. advertise with us; 0758100222, jimmynest.mwamongi18@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Infolinks In Text Ads
Popular Posts
-
BONGOFLAVA HIT TOKA KITAMBO ANAENDELEA KUFANYA YAKE, NI 8000 TU GETINI KWANINI TUSISHOW LOVE KWA MA LEGENDARY WETU.
-
Fido Vato on first verse went straight and put Ney on spot, check out the video below and tell us what you think .
No comments:
Post a Comment