Mtoto wa Katibu wa kamati ya mashindano ya klabu ya Yanga Emanuel Mpangala, Genevieve Emanuel Mpangala ametawazwa kuwa REDD'S Miss Temeke baada ya kuwashinda wenzake kumi na mbili katika katika shindano lililofanyika katika Ukumbi wa TCC Chang'ombe huku shindano hilo likizsindikizwa na bendi ya African Star 'Twanga Pepeta' na bendi ya B-Band ya Banana Zorro, na Mzee Zahir Ally Zoro alikuwepo katika kuhakikisha anatoa burudani katika shindano hilo ambalo mshindi wa pili aliibukuwa ni Upendo Urasa na watatu niAnna Daudi ambao wote watatu ni kutoka katika kitongoji cha Chang'ombe.Mtoto huyo wa Mpangala pia ndiye aliyeibuka mshndi katika shindano la katika kitongoji cha Chang'ombe, Mnyange huyo akiwa na Mama yake alionekana kufurahi sana naye Mama pia alikuwa mwenye furaha pindi mwanaye alipotangazwa kuwa ni mshindi walikuwa wakishangilia muda wote wakiwa na familia yake na marafiki wa karibu wa Genevieve, hurray onwu! alisikika akishangilia mmoja wa watu wa karibu wa gena bwana jamesmwamongi
Karibu ON THE COOLS.... we present to you updates on entertainment, eastAfrican expanding out, what we call cool is always is, stay updated with us. advertise with us; 0758100222, jimmynest.mwamongi18@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Infolinks In Text Ads
Popular Posts
-
by blogger, james mwamongi... monGi Kila tarehe 25 mwezi wa saba ya kila mwaka watanzania huwa pamoja kuwakumbuka mashujaa(heroes) wote ...
-
Movie star Sajuki( Juma Kilowoko ) has died in Dar es laam. Now on the brink of a new year, the country is awakened in the throes ...
No comments:
Post a Comment