Tayari na nini?... hakuna mmoja wetu aliye na uhakika pia, lakini kuna jambo linakuja kutoka kwa mwana dada Beyonce. Nathubutu sema hivyo kutokana na kile alichokiandika mwana dada huyo kwenye website yake ”Leave Your Footprint On August 19th, 2012,” akiashiria kuna jambo flan lina kuja tarehe hiyo, je ni single mpya? video mpya? au movie? naam OTC tuko pamoja nawe kukujuza yatakayojiri...
Mwongi james
No comments:
Post a Comment