Wednesday, October 6, 2010

Husika na afya yako! know something about breast cancer/

Health Newsletter

 Health Home >> Health Newsletter 

Subscribe



Great – you're almost done! You may now subscribe to our other health newsletters or just click Subscribe at the bottom of the page to begin receiving your newsletter(s).


Subscribe to our full lineup of FREE health newsletters or just click SUBSCRIBE at the bottom of the page.

Step 1: Choose the newsletters that you'd like to receive.
  • C-Health Monthly Newsletter
    Receive updates on the latest health news, feature articles, and more.
  • Healthy Aging
  • Fertility Monthly
  • HPV Quarterly
Step 2: Enter your email address.
Enter the information below and click on the "Subscribe" button. Your subscription information is kept entirely confidential. Please see our Privacy Policy for more information.
* Email Address:

* Country: Canada USA Other

We respect your privacy and will not share your personal information.

 I have read and accept terms of the Privacy policy

Tuesday, July 27, 2010

huray MISS REDDS TEMEKE 2010(Genevieve Emanuel Mpangala)


Mtoto wa Katibu wa kamati ya mashindano ya klabu ya Yanga Emanuel Mpangala, Genevieve Emanuel Mpangala ametawazwa kuwa REDD'S Miss Temeke baada ya kuwashinda wenzake kumi na mbili katika katika shindano lililofanyika katika Ukumbi wa TCC Chang'ombe huku shindano hilo likizsindikizwa na bendi ya African Star 'Twanga Pepeta' na bendi ya B-Band ya Banana Zorro, na Mzee Zahir Ally Zoro alikuwepo katika kuhakikisha anatoa burudani katika shindano hilo ambalo mshindi wa pili aliibukuwa ni Upendo Urasa na watatu niAnna Daudi ambao wote watatu ni kutoka katika kitongoji cha Chang'ombe.Mtoto huyo wa Mpangala pia ndiye aliyeibuka mshndi katika shindano la katika kitongoji cha Chang'ombe, Mnyange huyo akiwa na Mama yake alionekana kufurahi sana naye Mama pia alikuwa mwenye furaha pindi mwanaye alipotangazwa kuwa ni mshindi walikuwa wakishangilia muda wote wakiwa na familia yake na marafiki wa karibu wa Genevieve, hurray onwu! alisikika akishangilia mmoja wa watu wa karibu wa gena bwana jamesmwamongi

GENEVIEVE EMMANUEL MPANGALA NDIYE MISS TEMEKE 2010






GENA the indispensable, alie twaa taji la miss temeke 201

2010 the dream come true kwa upande wa warembo umeanza vyema kwa mrembo anaye staili kuchukua taji la miss redds temeke, hivyo kusafisha njia yake ya kwenda kuwabeba watanzania katika mashindano yaumiss duniani...... kazi iliyo baki ni kwa bibie gena kutambua ya kua anabeba jopo la watanzanioa wapenda maendeleo, hivyo apaswa kuangalia mbele ili kutimiza ndoto hiyo iliyo kwisha kuonekana kua yenye kutimia....


james mwamongi.

SHIONDANO HILO LILI KUA MOJA YA MASHINDANO BOMBA KUTOKANA NA UGUMU WA MPAMBANO NA MAANDALIZI MAZURI, yakipambwa na shows mbalimmbali zilizofanyika hususan za warembo wenyewe!

Tuesday, December 29, 2009

NO ONE IN GOT SWAGGA LIKE US......

Furahia kwa kuangalia movie, hizi ndo swagga za kitaa full kuji intertain. .....Just remember this...NO ONE IN GOT SWAGGA LIKE US...

(1986) Platoon

(1986) Platoon

JAMES MWAMONGI, Provides u wid d best of intertainments ever, stay in touch wid him hapahapa kwa swagga za kitaa

Monday, December 28, 2009

******* FRINDS CORNER'S OVER VIEW******





















HILI ndo ting'a la kijanja, ni mwendo wa kimilionea, kisuper star.... na kila kinga, yani huuzi hujaingia, follow swagga na zama kwenye ting'a kama kweli we mjanja

DEMU WA KIBONGO

...demu wa kibongo muulize kama ana boy atajibu sina n'liekuwa nae hayupo kaenda mtoni,hii tuiite fashion?,au mchanga machoni?,au professional fix a.k.a boshen??hahahahaha,Ambwene bana...huwa unapata wapi akili zote hizo???

Watch James Cameron's Avatar. The desperate fight for survival between humans and aliens begins on December 18, 2009.Watch the trailer

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too