Halima Mdee Mh. Mbunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliejizolea umaarufu mkubwa katika ulimwengu wa siasa nchini, amekua katika macho ya wengi na vyombo vingi vya habari katika shughuri zake na kwa umaarufu wake katika maisha yake binafsi pia, kwa muda sasa Tumekua tukijiuliza juu ya maisha yake ya kimahusiano au kama dada huyo ana mpenzi? Sasa, Mheshimiwa huyo ameweka wazi juu ya swala hilo na kile nachoweza sema kitawastaajabisha wengi, dada huyo ameweka wazi kua mwenza mteule wake ni Mh. Mbunge mpya wa Arumeru mashariki Mh. Joshua Nassari.
“Nafurahi kwamba Nassari hatimaye ameshinda ubunge katika uchaguzi mdogo,” alisema Mdee wakati akihutubia maelfu ya wakazi wa Arusha na Meru juzi katika viwanja vya Leganga kusherehekea ushindi wa chama chake katika uchaguzi huo.
Mdee alifafanua, kwamba yeye na chama chake walikuwa wamebanwa na kampeni za kuhakikisha Chadema inatwaa jimbo la Arumeru Mashariki na ndiyo sababu hakujibu mara moja maombi ya Nassari ya kumwoa aliyoyatoa katika moja ya mikutano yake ya kampeni.
“Naondoka kwenda Dar es Salaam kujiandaa kwa Mkutano ujao wa Bunge, kisha nitakwenda Dodoma ambako nitamsubiri Nassari na kwa pamoja tutafanya maandalizi,” alisema Mdee huku akishangiliwa na hadhira hiyo huku wakiimba na kucheza katikati ya mvua iliyokuwa ikinyesha.
Mdee alisema ndoa kati ya wabunge hao wawili wa Chadema ni wazo zuri na itatangazwa sana na kuandika historia.
Alipoona anashambuliwa sana na wapinzani wake juu ya useja wake katika kampeni hizo, Nassari hatimaye alitangaza kumwoa Mdee ambaye pia hajaolewa
Karibu ON THE COOLS.... we present to you updates on entertainment, eastAfrican expanding out, what we call cool is always is, stay updated with us. advertise with us; 0758100222, jimmynest.mwamongi18@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Infolinks In Text Ads
Popular Posts
-
Can’t wait until December 11 to hear Bruno Mars’ Unorthodox Jukebox ? The Grammy-winning crooner is letting his fans get a first listen ...
-
It’s not even spring, but Sean Kingston already has his eyes on the summer. Kingston rounds up Chris Brown and Wiz Khalifa for ...
-
On Set of Sean Kingston’s with Chris Brown and Wiz Khalifa Sean Kingston brought the party to Malibu while shooting the Colin Tilley-...
-
Candice Glover joined Kelly Clarkson, Fantasia, and Jordin Sparks by becoming the newest “American Idol.” Only hours after the confe...
No comments:
Post a Comment