Tuesday, July 27, 2010

GENEVIEVE EMMANUEL MPANGALA NDIYE MISS TEMEKE 2010






GENA the indispensable, alie twaa taji la miss temeke 201

2010 the dream come true kwa upande wa warembo umeanza vyema kwa mrembo anaye staili kuchukua taji la miss redds temeke, hivyo kusafisha njia yake ya kwenda kuwabeba watanzania katika mashindano yaumiss duniani...... kazi iliyo baki ni kwa bibie gena kutambua ya kua anabeba jopo la watanzanioa wapenda maendeleo, hivyo apaswa kuangalia mbele ili kutimiza ndoto hiyo iliyo kwisha kuonekana kua yenye kutimia....


james mwamongi.

SHIONDANO HILO LILI KUA MOJA YA MASHINDANO BOMBA KUTOKANA NA UGUMU WA MPAMBANO NA MAANDALIZI MAZURI, yakipambwa na shows mbalimmbali zilizofanyika hususan za warembo wenyewe!

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too