Tuesday, September 27, 2011

 

pokea matumaini toka kwa rafiki wa kweli...


Maisha ni kitabu kisicho na mwandishi kamili,JIAMINI unaweza kukifanyia mabadiliko na kuwa kitabu bora duniani.Unajua cha kufanya ni nini?...ni wewe ndo mwenye funguo ya chumba cha kuchapia hicho kitabu kwa nini unachelewa?...Bado una muda AMUA,AMKA,INUKA na FAnya mabadiliko mapema....

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too