Wednesday, February 22, 2012

MR II(SUGU) AMALIZA VITA NA RUGE MUTAHABA

*ANTIVIRUS BILA VIRUS KUNA SOKO LA ANTIVIRUS?
*HUU NDIO MWISHO ULIO TEGEMEWA?
*KIPI NI KIPI?

UKWELI NI KUA MAHASIMU HAO SIO TENA NA TAARIFA RASMI ITAWAJIA HIVI PUNDE

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Clouds Media Rugemalila Mutahaba

HAYO NA MENGI ZAIDI YAMEENDELEA KUPASUA VICHWA VYA RAIA,
Ni kutoka na mwisho wa vita kati ya Sugu na Ruge, Sugu mwasisi na mdhamini mkuu wa Antivirus project iliyokua adui mkubwa wa Ruge anaeonekana katika picha ya pamoja na adui yake Bwan Ruge Mutahaba amefanya jambo lililowashtua mashabiki wa Antivirus project na wanajeshi wa vita hiyo(vinega) Jambo linalozua maswali ni kwa nini Sugu hakutoa taarifa mapema? Hata hivyo Sugu amejitokeza na kuamplify kua hakuna vita isiyo na mwisho na hivyo kuonyesha wazi kuimaliza vita hiyo lakini katika hali ya utata kwani vinega wameachwa bila kujengewa msimamo juu ya kumaliza au kuendeleza mapambano.

Mkakati wa kuwapatanisha ulianza mara baada ya Waziri wa Utamaduni na Michezo, Mhe. Emmanuel Nchimbi, kukutana na Sugu Bungeni wakati wa kikao cha hivi karibuni ambako waziri wakati akiwasilisha muswada wake,

Katika hali ya kushangaza zaidi, mdau mkubwa wa Antivirus, the man himself PEENLAWYER ameibuka akicomplain kuhusishwa na maamuzi ya Mr II hali inayozidi kuwachanganya zaidi vinega, haya ni maneno ya peenlawyer katika mtandao wa facebook;


UKUMA UNAENDELEA...............!MAANA HAYA MATUSI NNAYOPEWA SIDHANI KAMA NAYASTAILI MM...!MIMI NI KINEGA ORIGINA...!KWENYE KWENYE HIYO PICHA MMENIONA MM NA RUGE AMA?FUCK THIS......!NA TENA FUCK YOU 



Kinega mstaafu Sugu akiwa na adili
 Aidha Sugu ameomba radhi kwa vinega kutokana na tukio hilo la kushtusha kutokana a uharaka wake na kuahidi kulitolea ufafanuzi katika taarifa rasmi atakayoiandaa.


In the name of PEACE


No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too