Monday, May 14, 2012

J.K AZINDUA BLOG NA WEBSITE YA CCM


Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua tovuti pamoja na Blogu ya CCM katika viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Mkoani Dodoma jana jioni.Wapili kushoto ni katibu mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye, Watatu kushoto ni Makamu wa CCM bara Pius Msekwa, Wanne kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mukama na viongozi wengine waandamizi wa Chama. KWA HABARI NA PICHA ZAIDI FUATA LINK CHINI...



 Rais Jakaya Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiangalia blogu hiyo mara baada ya kuizindua rasmi jana jioni mjini Dodoma.

Muonekano wa website ya CCM

Muonekano wa Blog ya CCM

Baadhi ya Wanachama wa CCM walihudhuria uzinduzi wa Blogu ya CCM uliofanyika mjini Dodoma jana jioni.

Mwenyekiti wa CCM  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wanachama wa CCM waliohudhuria uzinduzi wa tovuti na blog ya CCM katika viwanja vya makao makuu ya CCM mjini Dodoma jana jioni.

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too