Thursday, August 2, 2012

"OH MAMA" WAEZA-OTEA NANI ANATOKA NA KATY PERRYSASA??



Katy Perry aliyeachwa na hubby wake wa zamani aliyedumu nae kwa  mwaka mmoja -Russell Brand na hivi karibuni alitoka na mwimbaji Robert Ackroy, huyu pia   hajadumu kwa muda mrefu sana na sasa inaonekana  anatoka na mtu mwingine kwa mara nyingine tena.hata hivyo, Mimi sina furaha sana kwa sababu jamaa huyu mpya ni kama si mwaminifu sana  na ana sifa ya kua "Serial  dater'' na kimwana KPanaeza kua mmoja tu wa victims wa jamaa.Mchizi amesha husishwa na nyota  wengi ikiwa ni pamoja na Jen Aniston, Jessica Simpson na wengine wengi. Kujua ni nani na kwa maelezo zaidi endelea chini.

 

John Mayer na Katy Perry

Kwanza, US Magazine lilireport taarifa kua Katy na Yohane walionekana wiki iliyopita NYC " wakiwa kimahaba kwa, kushikana mikono na kukumbatiana," na sasa TMZ wanareport kua jana wawili hao walitokelezeiya jana usiku huko Cali!


John Mayer na Katy Perry walionekana wakitoka Chateau Marmont katika hoteli ya West Hollywood pamoja jana usiku ... duuh, huyo John Mayer.

     Ni wazi kama wawili hawa wamekua wakitoka ... aidha kwa ajiri ya chakula cha jioni ... au kufanya kitu kimahabati zaidi, lakini muonekano wao mara kwa mara umezua uvumi kuwa wawili hana wanalo lao la ziada.

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too