Thursday, December 24, 2009

realise me better


mi ni namba wima, washakili mi ni mkuki wenye sumu unaong'ara
kwa kifupi niite kafiri asiye na mtumwa
Tafsiri yangu ya maisha ni sawa na mzazi asiye lisha,
yan full kutatanisha
Na explode zaidi ya volcano ni pure cna impurities kama kijani na njano,
Busara na upendo ndo ngao yangu ya mapambano,
Nnapo kua kwenye game natisha zaidi ya mvua za elninho,
nang'ara zaid ya color ya albino.
Cna kipimohata wahenga walishakili kua ntashika no 2 kama isipo kuwepo moja,
huwezi bac ngoja, ucje ukaharibu kati kumi ukapata moja;
ucbonyeze ucjaribu ucje zuavioja......

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too