Thursday, December 24, 2009

tobaaaa!

Jamaa mmoja alikua mgonjwa mahututi, daktari akachukua vipimo kisha akarjea na mazungumzo yakawa hivi;
daktari;nina habari 2, mbaya na mbaya zaidi, cjuo nianze na ipi?
jamaa;Duh! mbona unanitisha, anza na mbaya,
daktari;una saa 24 tu za kuishi.
jamaa;tobaa!sa hiyo mbaya zaid ya hii itaka ipi?
Daktari;Mbaya zaidi ni kwamba nilisahau kukwambia toka jana..

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too