Monday, December 12, 2011

POST YA DIOMOND YAZUA UTATA FACEBOOK

: Diamond
Tanzania music artist. This is from so long ago, just going through my hard drive.
Diamond Platnumz ambaye ni msanii anaetamba katika fani ya muziki wa kizazi kipya ndani ya bongo land alizua utata huo baada ya ku post stutus yake  "+447534544984 biashara nicheki humu my uk number" ni kwa ujumbe huo watumiaji wa mtandao huo wakazua gumzo wengi wakisema ni ushamba wengine ni sawa, kukupa wewe msomaji wetu habari za uhakika mambo yalikua hivi;
· · · 24 minutes ago via BlackBerry ·


  • 3 people like this.

    • Noel Salvius K Vowels Mwongo wewe. Cameroun huyog
      23 minutes ago via mobile · · 1

    • Timotheo Mjuni Xix inatuhusu kujua hyo no yako ya uk
      21 minutes ago ·

    • Noel Salvius K Vowels Mshamba huyo
      18 minutes ago via mobile ·

    • Jelani Mohammed lol as if u wil post ur num here bro i liv uk i cn cl it n c i bet is a wrng num
      17 minutes ago ·

    • Rogiekiss Mohammed Hatib Usijali Toto La Kimanyemaa One Luv
      15 minutes ago ·

    • Fiiy Beka Achaaa ushambaa wewe mtoto wa kiume watu tuna miaka 13 uk weee kuja juzi tu unazingua baaana
      14 minutes ago ·

    • Roseline Mkamburi Mbona mteja.
      13 minutes ago ·

    • Swash Abdul Stop kiddin da interneterz of f.b
      12 minutes ago ·

    • Reginald Mmari Mbona chalii unakuwa mshamba hivi?
      12 minutes ago ·

    • K' Loopy De Loopy Acha pigo hizo brazamen huo ushamba
      10 minutes ago ·

    • Asier Harshim Jaman ushamba c wake muacheni jaman,maybe fanz wake wengne watakaotaka kumfind kwa 4ne mbna mnakuwa hvyo?! Co vzuri hata kma m2 humpendi jct sma post yake then Potezea hvyo co isue wala ninii.
      9 minutes ago · · 1

    • Princessa Trish Leila Kaaaaaaah mijitu bana..kasema Biashara!! He meant kwa kazi wa UK..!!! wanataka kumpa Shavu!!
      8 minutes ago ·

    • Lily Kardashian jamani kama ushamba ni wake,mwacheni,kuna atakaezihitaji labda kama mwaona hamzihitaji mpotezeeni,so fresh kumchana kiivyo!
      8 minutes ago ·

    • Fiiy Beka weee ni nini na wewe wee ndoo walee wale tuu washamba kuenda sehem tu mpaka mujitangazee baana bdilikeni wabongo
      8 minutes ago ·

    • Abdallah Rajab Waambie hao ma...@Asier.
      7 minutes ago ·

    • Maria Daudi jamani labda ameamua kupost ili km kuna m2 anataka akapige shoo pande zingine za huko amtafute kirahisi.sio fresh kumpondea hvo
      7 minutes ago · · 1

    • Princessa Trish Leila Dont forget He is the Super Star!! mtu kama mie nikiandika hivyo sawa mna haki ya kunichambua
      7 minutes ago ·

    • Reginald Mmari We knw him,that's nat the way celeb shud b,each n everythn shud b undr the manager
      6 minutes ago ·

    • Princessa Trish Leila ‎50 cent mwenyewe anasema
      6 minutes ago ·

    • Asier Harshim Unajua w2 wengne wanakera nyie mmesma post haiwahusu mnahangaika nin? Co ishu wala fresh mambo mengne muwe mnapotezea co kila post niyakucomment u jct watch urself co pouw kbisa,
      6 minutes ago · · 1

    • Fiiy Beka hahahahahaha...we ndo mshamba w akutupwa...ati super str..duhh..af acha kujishusha hadhi...kwan hata ungeandika ww ingekuaje?yyte tu awe super star awe wa kawaida..ka makavu anapewa tuu...@princessa,'
      5 minutes ago ·

    • Princessa Trish Leila hahah hapo sasa!!! Tell em mwaya
      5 minutes ago ·

    • Mkumbukiy Ally humu ndani patamu humuu?? Dah? Maraia ndo nnachowapendea...!
      4 minutes ago · · 1

    • Princessa Trish Leila Hahahhaha No Hard feelng Bro..But Honestly if ts Not ua concern U shud Remove ua comments!!!! BIg Up PLatnumz
      4 minutes ago ·

    • Reginald Mmari Super star unatakiwa kuwa na Management.na sio kujiuza ka pipi,mnakuwaje bhanna?lakini wabana pua ndo zao,we Tangu lini ukamwona Fid,Weusi wamepost number zao wakiwa nje?
      3 minutes ago · · 1

    • Fiiy Beka hahahahahahah....we nin wewe huna nyimbo bana ka vp fyata domo lako tuu....hata unachokionge hakina maana zaidi unazingua tuu...super starz wapo na wamenyuti kimyaaa....@princessa.
      about a minute ago ·

    • Mkumbukiy Ally Wa2 weweeeeee.....!
      about a minute ago ·

    • Asier Harshim Tatzo c kuwa supa star au lah,ila if unaona comment haikuhusu achana nayo endlea na ishu zako,co vzuri nyie ndo msiopenda maendleo ya wa2 nyie tbia mbya 2,! We kama unataka namb chukua kelele za nin? Tatzo sis binadamu wanafki sana na co vzuri,alaah!
      about a minute ago ·

    • Princessa Trish Leila Na Bado mtaisoma Mwaka Huu!!!! do Ya thiNG Bwoy!!!!... Imewakuna kweli
      a few seconds ago ·

    • Mkumbukiy Ally hahahahahahahahahaaaa.....!
      a few seconds ago ·

    • Rogiekiss Mohammed Hatib Daaah ! Sijui Ni Roho Mbaya Au Chuki ! Mfano Lil'wayne Akisema Yupo South Africa Je Ni Ushamba Ache Roho Za Kwann ! Waafrica DIAMOND Tuambie Mpka Mtaa Uliofikia
      2 seconds ago ·

    • Fiiy Beka hahahahhaha.sa ww unapijib commentz zetu kwan we zinakuhusu nin wakat sisi tumemwandikia mwneye statuz...acha hizo ww ka vp kaushi tu acha mwneyewe aseme sio ww nyan'gau...@asier.
      2 seconds ago ·  

      Changia mawazo yako pia ....

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too