Thursday, December 8, 2011

Tanzania na miaka hamsini ya uhuru

Image
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange, ambaye alikabidhi kwa kikosi cha kuupandisha katika Mlima Kilimanjaro.
Hili ni vazi la miaka 50 ya Uhuru lililobuniwa na mwanamitindo aliyebobea,Asya Idarous Khamsin


Ras Makunja na mzimu wake wa Ngoma Africa band.
washambuliajji wa magitaa wa FFU wakipakua vitu.
watanzania ujerumani hakubaki mtu nyumbani hadi watoto wachanga
watanzania ujerumani wakijipendelea

Balozi Ngemera (katikati) akiwa na viongozi wa Umoja wa  watanzania Ujerumani UTU.
Balozi Ngemara akiwa na viongozi wa UTU
kikamada ketu Ras Makunja wa FFU alikuapo

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too