Sunday, January 1, 2012

New Year's Day in Tanzania(picha na habari)

New Year's Day falls on January 1 and marks the start of a new year according to the Gregorian calendar. its a day of celebrations. like in other world regions in the United republic of Tanzania it gives many Tanzanians a chance to remember the previous year.



"mkesha wa mwaka mpya" is how new years waiting night is called, now get filled in with what new 2012 mkesha an day;

*
Abdul a.k.a Diamond akiwa chini ya ulinzi wa mashabiki uwanja wa Samora Iringa
*Joti wa orijino komedi awa mtoto tena( his brirthday is on 01/01)
    

Magwiji wa muziki Bongo (kuanzia kushoto), Afande Sele, Profesa Jay, Chiddy Benzi na Mwana Fa kabla ya kupanda jukwaani.
Msanii wa Hip Hip anayewakilisha kundi la Chemba Squad, Albert Mangwair. akikamua stejini.


WASANII wa muziki wa Bongo Fleva jana walishusha bonge la shoo katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni,  katika kuukaribisha mwaka mpya 2012.  Hafla hiyo  iliyofahamika kama ‘Bongo 50’ iliandaliwa na kituo cha radio cha Clouds FM kikishirikiana na mtandao wa simu za mkononi wa  Airtel.
Mwana-Hip Hop toka jiji la Mwanza, Fareed Kubanda ‘Fid Q’ akiwa nyuma ya steji

.
Msanii Dogo Aslay ambaye ni zao la Mkubwa Fela kutoka ‘crew’ ya Wanaume,  akifanya vitu vyake.


P Funk akiwasambazia washikaji wake shampeni.

DJ Ziro akihakikisha sauti za muziki ziko 'swaafi'.

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too