Tuesday, July 24, 2012

SHEREHE ZA UZINDUZI WA MASHINDANO YA ULIBWENDE DUNIA ZAFANYIKA LEO!

Miss World 2012 imeanza kwa tamasha rasmi na sherehe ya ajabu, iliofanyika katika uwanja wa Dongsheng huko Ordos China.

 Wiki iliyopita washiriki wote wamekuwa na maandalizi mazito ya kijijenga . Wagombea wamekuwa busy na rehearsals, FITTINGS Costume, urembo wa nywele na majaribio ya kufanya make-up wiki iliyopita. Asubuhi ya leo ilikuwa ni ya mwisho kwa njia ya maandalizi.

 Tanzania imewakilishwa na Lisa Peter JENSEN. Lisa kakulia Musoma- Bunda na angependa kuwa designer. Hobbie zake ni pamoja na kusoma, kuogelea na kusafiri. Yeye anapenda jadi na muziki, na anajiita mtu mnyenyekevu ambaye anapenda kuwasaidia watu, akiyathibitisha hayo kwa motto aloenda nao 
      "Do good and good will be done to you too."
Lisa Peter JENSEN
Wote tunasubiri kwa hamu fainali za mashindano hayo na OTC hatutochoka kukujuza. Goodluck to Lisa na Mungu aibariki Tanzania. Endelea chini kwa kubonyeza link upate picha za matukio ya sherehe hiyo ya ufunguzi...













 The act finishes and traditional Mongolian dancers take the stage. Dressed in white draped outfits they are perform a dance that segues between elegant and athletic

















No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too