Thursday, July 26, 2012

YANGA YAFUZU FAINALI, KOMBE LA KAGAME

Kikosi cha Mabingwa Watetezi Kagame Cup 2012


Yanga wameibuka kidedea katika mchezo wa kufuzu nusu kombe la kagame, wakikichapa na APR ya Rwanda.

Timu zote zilifanya vema haliyo changia kutoka sare ya bila kufungana kwa dakika 90 za mchezo, hali iliyopelekea koungezwa kwa dakika 30 na ni katika hizo,Dakika ya 10 Hamis Kiiza aliwainua mashabiki wa Yanga kwa kupachika bao la kwanza na lililodumu mpaka mwisho wa mchezo huo nakuifanya Yanga mabingwa wa mchezo huo. picha zitawekwa punde.

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too