Friday, July 8, 2011

SERENGETI FIESTA IRINGA NOUMA...

NAIBU meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki aliwaongoza maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa na wilaya za jirani kuwapokea wasanii wa tamasha la kihistoria katika mji wa Iringa tamasha la serengeti Fiesta 2011 jana limeuteka mji wa Iringa na vitongoji vyake huku wasanii wakikamiana vikali jukwaani kutoa burudani katika tamasha hilo.soma zaidi

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too