Sunday, October 7, 2012

HII KALI, KUTANA NA MSANII ANAECHORA KWA MATAPISHI YAKE...

Millie Brown.


Katika pita pita mitandaoni nakutana na msanii Millie Brown.  Si kama wasanii uliozoea kuwaona au kuwa sikia, si bagamoyo wala duniani kote.  Ngoja nikupe hii … Millie Brown anameza mchanganyo wa maziwa na rangi na kujitapisha aina flani ya uji uji wa rangi. Ndio, na jinsi anavyotapika huchora chini au katika ubao kwa matapishi hayo na michoro yake ni ghari kweli kweli! Cheki na video hii kuona akifanya yake..... upo hapo??? kweli pesa inatafutwa....




No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too