Wednesday, October 3, 2012

VIONGOZI WAASWA KUCHANGIA MAENDELEO - ELIMU YA MSINGI


Mh. Geophrey M. Lukuvi akihutubia Halaiki

"Njia pekee ya kuendeleza elimu ya msingi ni kwa sisi viongozi kua chachu na hamasa kwa kuchangia kwa hali na mali"

Hayo yamezungumzwa na Mh. Geophrey M. Lukuvi aliye kua mgeni rasmi katika mahafali ya kuhitimu elimu  ya msingi ya shule ya msingi Jitegemee, manispaa ya Iringa kwa niaba ya mkuu wa mkoa huo.
Aidha kwa nafasi yake bwa Geophrey lukuvi kwa nafasi yake aliahidi kua chachu kwa kuandaa harambee zitakazo changisha  fedha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na madawati shuleni hapo. Bonyeza link hapochini kusoma habari na picha zaidi>>>>



Mh. G.M Lukuvi akipokea risala ya wazazi

Mh. G.M Lukuvi akikabidhi zawadi kwa watoto waliofanya vizuri


No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too