Saturday, October 27, 2012

JUMBA LA HAYATI MFALME WA POP LAUZWA...

1026_celebrity_photos_carolwood
na huu ndo mjengo wenyewe


























Ile nyumba iliyokua ikimilikiwa na mfalme wa pop hayati  Michael Jackson  na ndimo alimofia inauzwa, na taratibu za mauzo zina karibia kukamilika baada ya baadhi ya nyaraka muhimu za mjengo huo kua zimeshasainiwa na mnunuaji... ... TMZ mtandao maarufu wa habari za wasanii toka marekani wanaeleza kua mnunuzi wa jengo hilo yuko moto kuhamia sababu  anampngo wa kuhamia hata kabla ya kukabidiana nyaraka zote ... 

Mnunuzi anaitwa Steven Mayer, tajiri mkubwa aliyewekeza zaidi kwenye biashara na hasa za bank.  

Chanzo chetu cha habari kinaeleza, nyumba hiyo imekadiriwa kuuzwa kwa  $17 na $20 mil hivi -- 



No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too