Sunday, October 7, 2012

Roberto Di Matteo Meno 32 yote nje, ni baada ya kuichapa Norwich, Azungumzia adhabu ya Cole pia>>>

Di Matteo happy with victory


Meneja huyu wa Chelsea Roberto Di Matteo alionekana mwenye furaha tele baaada ya vijana wake kurudi kwenye ramani kwa kuicharaza Norwich kipigo heavy cha bao 4-1.
Ashley Cole: Facing disciplinary action from Chelsea following his Twitter outburst
Ashley Cole: ANAKABILIWA NA HATUA ZA KINIDHAMU BAADA YA KUITUKANA FA TWITTER

Sky Bet


John Terry na Ashley Cole, ambao wame make headline week hii  kwa skendo zao za kusupportiana ujinga, hawakua nyuma kwani wote walianza katika game hiyo.
Hata hivyo Di Matteo, amebainisha kuwapo kwa hatua kali za kinidhamu zitakazo chukuliwa dhidi ya magwiji hao wa the blues... Cole hasa anakumbwa na kosa lake la kuisema vibaya FA katika mtandao wa Twitter,

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too