Sunday, April 1, 2012

ILIVYOTOKEA KWA DIAMOND NA WEMA, KWENYE DIAMONDS ARE FOREVER SHOW BY DIAMOND


Diamonds are forever
.
Diamond akiperfom na band ya Odama.

Wema Sepetu aliamuka na kwenda kumtunza Diamond lakini mshkaji alikataa kabisa
kuichukua hiyo pesa na kujikausha kama hajamuona.
Ligi inaendelea.... msimamo ule ule!

Bado tu.......

Baada ya Diamond kukataa kupokea hizo pesa za Wema, mrembo huyo aliamua kuzitupa chini kwenye stage.... ndio hizo!

Akaondoka zake.

Baada ya kurudi kukaa Wema alianza kulia (Picha zimetoka djchoka.blogspot.com pamoja na kajunason.blogspot.com)

Mc Taji Liundi akimbembeleza Diamond ili aende nae kwa Wema lakini alikataa.

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too