Sunday, September 16, 2012

DIAMOND ATHIBITISHA KUTOWABWAGA DANCERS WAKE

* WAKO MAPUMZIKONI, MAREKANI
 

Kumekua na Fikra kua Msanii nguli wa kizazi kipya DIAMOND PLUTNUM, kawabwagasha dancers wake baada ya kuonekana katika show kadhaa hasa za Fiesta bila wachapakazi hao, akijibu tuhuma hizo katika mtandao wake wa This is diamond msa nii huyo amesema... "Jibu ni hapana,nimeamua kuwaacha marekani kwaajiri ya mapumziko ya muda mfupi. Ili waweze kurefresh akili na miili yao kwasababu kiukweli wamefanya kazi kubwa kwa muda mrefu na iliyozaa matunda makubwa...hivyo kwa upendo na Heshima yangu kwao nikaona ni vizuri niwazawadie Mapumziko hayo Nchini AMERICA..... mbali na hayo kuna kingine kikubwa ambacho soon ntawajuza nini wanakifanya pia huko America ili wakirudi wazidi kuleta levolution katika Industry hii ya Muziki Africa..."
BOFYA LINK HAPO CHINI KUONA PICHA ZA DANCERS HAO WAKILA BATA, NCHINI MAREKANI 

























































No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too