Tuesday, September 25, 2012

Sean Kingston Adanganya uma! Aliazimwa gari na Justin Bieber - Kasema lake!

Na hii ndo ndinga yenyewe.

jana, Sean Kingston alionekana misele na ndinga ya biebs wadash wanaiita Fisker Karma na kuzuga raia amepewa gari hilo na bieber mwenyewe kama zawadi ya urafiki wao. Well, wadau wakapekenyua maswala na kugundua Kingston aliazima tu! Biebs alimuazima Kingston kwasababu yeye alikua tour.
Wadau wakaribu na biebs ndo walouthibitishia mtandao wa TMZ juu ya swala hilo, wakati huohuo majembe ya sean King pia yameibuka na kusema alikua anatania tu, acha comment bhaasi ...unalionaje hilo???

No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too