Karibu ON THE COOLS.... we present to you updates on entertainment, eastAfrican expanding out, what we call cool is always is, stay updated with us. advertise with us; 0758100222, jimmynest.mwamongi18@gmail.com
Tuesday, September 25, 2012
MATUKIO YA PICHA, KIKAO CHA KAMATI KUU, DODOMA LEO!
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini kuendesha
kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM,
Wilson Mukama. (Picha na Bashir Nkoromo) Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM,
mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa
Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. (Picha na
Bashir Nkoromo) Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM,
mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa
Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. (Picha na
Bashir Nkoromo)
Katika Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisoma utangulizi, mwanzoni wa kikao
cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM
Rais Jakaya Kikwete na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius
Msekwa Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiwaslimia wajumbe wa
Kamati Kuu, Mjumbe wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba, Mjumbe wa
NEC Oganaizeshenu, Asha Abdallah Juma na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,
(Zanzibar Vuai Ali Vuai) kabla ya kuanza kukao cha Kamati Kuu ya CCM
mjini Dodoma leo. (Picha na Bashir Nkoromo)
Wajumbe wa Kamati Kuu, Maua Daftari na Simba wakijadili jambo taratibu,
kabla ya Kikao cha kamati hiyo kuanza leo mjini Dodoma. (Picha na
Bashir Nkoromo).
Baadhi ya viongozi wa CCM wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi kwa
awamu nyingine katika uchaguzi mkuu wa CCM utakaofanyika Novemba mwaka
huu, wakiwa nje ya ukumbi wakati kikao cha Kamati Kuu kikiendelea mjini
Dodoma. Kutoka kushoto ni, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Azim
Premji, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa, Hypolitus-Rukwa, Wajumbe wa NEC
Asha Baraka na Hkadija Kopa (Picha na Bashir Nkoromo). STORY CREDITS: TZ ONE
No comments:
Post a Comment