Friday, September 28, 2012

JAY-Z AZUNGUMZIA UVUMI UNAOENDELEA KUHUSU BEYONCE KUA NA MIMBA!


Beyoncé

Kumekua na uvumi unaoendelea mitandaoni kua Beyoncé anaweza kua na mimba ya mtoto wa pili, hii inatokana na watu wengi kutafsiri picha hapo juu, mwishoni wiki iliyopita! Hatimae “E! News” (ya mbele ofcourse) imejitkeza wakati wa NBA 2K13 launch event,  na kumhoji muhusika mkuu yani mme wa B- Jay-Z, nae akafunguka:
Alipoulizwa kama Blue Ivy anatarajia kua na mdogo wake hivi karibuni alijibu,  “No, not in nine months. Absolutely not.”
And there you have it, folks. kwa hiyo mpango ndo huo, yaliyomo hayamo.....



No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too