Wednesday, September 26, 2012

Trey Songz atoa shavu kwa Obama, Ampigia Kampeni jijini Virginia


Trey Songz
Beyoncé, Jay-Z, na Alicia Keys wamekua wakijulikana vilivyo kwa support yao kwa  President Obama kwa jinsi ambavyo wamekua wakimpgia kampeni na kuendesha harambee za kuchangisha pesa za kampeni. Trey Songz amekua miongoni mwa mastar wa mwishoni kujitokeza na kumsuport Presidaa huyo kwa kampeni yake iendayo kwa swagg “Gotta Vote” concert maeneo ya Richmond,huko Virginia, mwezi uliopita. katika matamasha yake msanii huyo ameweza kujikusanyia zaidi ya wadau 1,200 wanao unga mkono jitihada hizo.
Kwa maneno yake amekua akisema-----
“I feel it is my duty to encourage and educate my fan base, especially here at home, about the importance of their vote,” said Trey. “The Gotta Vote Concert is about us coming together, making our voices heard, and giving our President another four years.”
  Cheki video hapochini kuona trey akifanya yake.........




No comments:

Post a Comment

Infolinks In Text Ads

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

we gOt friends too